FT: Yanga SC 2 - 0 Silver Strikers | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 25/10/2025

Dakika ya 90' + dakika 4 za nyongeza zimeongezwa

Young Africans 2 - 0 Silver Strikers

Dakika 94"
Kadi ya njano kwa golikipa Diarra kwa kupoteza muda

95' Aziz anaingia Pacome anakwenda bench
 
Tumefuzu ila tumeshindwa kuwashikisha adabu hawa Silver strikers kwa kipigo heavy. Watajitetea kwa kulauku waamuzi katika kufuzu kwao.
Dube ndiye aliyeikosesha Yanga ushindi mnono leo hii
 
Kama tunataka kufanya vizuri kimataifa Dube hapana

Tuseme ukweli tu huyu katunyima magoli sana sijui anasumbuliwa na nini?
 
Hakuna namna. Tuendelee tu kumpa nafasi. Ukienda kwa Boyeli ndiyo majanga zaidi.
Angalau Yeye maana ndio tuliyenaye boyeli hata kutuliza ni shida

Yaani tuseme leo alikuwa na siju mbaya kazini nafasi ile aliyokosa mpaka mwenyewe akaomba sub pale hata mwenyewe haamini

Amemnyima pacome assist leo za kutosha sana
Dube aache kucheza kwa pressure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…