chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Kwa kweli kaumalizaMoloko Mwendo ameumaliza Yanga
Wamekataa..! Wapi huko?mpira ndo ulikuwa unaanza wakakata umeme.
Wamelala yoooWehh! Nani akupe update wakati utopolo washasawazishiwa [emoji23][emoji23][emoji28]
ππππKuna MTU Leo huko kakutana na mwanaume Kama Ihefu
Na ww tulikunyuka wikiWewe tulikuweka tano, haukua mchovu?
Lazima tuwashone members kama wewe.Hey sikiliza kwani kusoma kichwa cha habari uwezi hapo juu au ni jealous tu unayo kama umeona ni Uzi uchwara mbona umekuja na kuandika next time ikiona Uzi haukufai ignore acha kuwa na wivu na chuki dhidi ya member wenzako sawa wewe
πππππ
Ngapi ngapi huko???Lazima tuwashone members kama wewe.
Saa nane usiku unakimbilia kuanzisha uzi harakaharaka ili uwe wa kwanza.
Jifunze kwa kina OKW BOBAN SUNZU jifunze kwa kina Scars jinsi wanavyoanzisha nyuzi kama hizi.
Hata kama hukua na habari juu ya mechi husika basi, unakipata kila kitu papo hapo pasi na kuscrow au kuuliza.
Na siwezi kuona wivu, nione wivu kwa kuanzisha uzi kipuuzi puuzi namna hii.
Next time ukileta uzi wa namna hii na nikiuona basi tegemea comment yangu, eidha kusifu, kukosoa au kuchangia ulichokileta.
Yupo, anazurula tu[emoji23][emoji23][emoji23]Max Nzengeli hachezi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Goaaaaaaal okra dakika ya 75
1 - 1 (63')Ngapi ngapi huko?
ππππYupo, anazurula tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Ishalala hii!! Kiko wapi??1 - 1 (63')