FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

Dah! Ila leo kocha amezingua aisee. Waliostahili kutoka walikuwa ni Mzize na huyu mchezaji wake Guede ambaye anazunguka tu pale mbele.

Kutoka kwa Aucho na Pacome kumeharibu kabisa mfumo wa timu.
hapa ndio kosa limeanzia kigoli kimoja unafanya sub za watu muhimu
 
Ila wachezaji wa Yanga na kocha wao wanatuweka matumbo joto mpaka basi. Yaani tunaongoza lakini hatuna amani.
 
Dah! Ila leo kocha amezingua aisee. Waliostahili kutoka walikuwa ni Mzize na huyu mchezaji wake Guede ambaye anazunguka tu pale mbele.

Kutoka kwa Aucho na Pacome kumeharibu kabisa mfumo wa timu.
Naona mmeanza kumpangia Gamondi kocha la makocha.
 
Back
Top Bottom