NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 4,253
- 5,789
Madeni FC 5-0 Mashujaa FCView attachment 3699577
KIvumbi cha ligi kuu kinaendelea leo kikiwakutanisha Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Mashujaa kutokea Kigoma.
Yanga ataingia kuyataka matokeo ya alama 3 baada ya kutoka sare dhidi ya TRA mchezo uliopita
Unanishauri niangalie game au nisubirie matokeo? Kocha wetu nani kwanza wakati huu wa mpito?Kila la kheri Timu ya Wananchi.
"Daima Mbele Nyuma Mwiko"
Ooh. Haina shida Mtani. π€Wewe wasema hayo wala hatujawaza kuwa timu yenu pendwa nyuma mwiko ni mbovu
Kama nafasi unayo nakushauri uangalie Mkuu. Kwa sasa Timu ipo chini ya aliyekuwa kocha msaidizi Simon Dladla.Unanishauri niangalie game au nisubirie matokeo? Kocha wetu nani kwanza wakati huu wa mpito?
Hamna kitu
Wanapasuka kabisaπ€£Sare nyingine.π
ππWanapasuka kabisaπ€£
Hahaha siku hizi ukionekana unashabikia hiyo timu unaonekana hamnazoπ€£π€£ππ
Kuna nini bwasheeππππππππ