FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa | Ligi Kuu NBC |KMC Complex | 12:30 Jioni | 27 Oktoba, 2026. Yanga warejesha makali yao

Unanishauri niangalie game au nisubirie matokeo? Kocha wetu nani kwanza wakati huu wa mpito?
Angalia mkuu kama unajali performance kuliko matokeo. Ili uone kama kuna improvement ama lah. Na tujue shida ilikuwa inachangiwa na kocha amq lah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…