FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa | Ligi Kuu NBC |KMC Complex | 12:30 Jioni | 27 Oktoba, 2026. Yanga warejesha makali yao

Kusema ule ukweli timu yetu ya Wananchi imeanza kudharauliwa na wapinzani wake. Tangu mechi na Geita Gold heshima imeshuka sana.
 
Anaejua mbinu gani za kiufundi wanaozitumia Yanga siku hizi aniambie

Wanaojua mpira wameliona hili
 
Sasa hivi Sina timu kabisa bongo Yani mechi unaangalia bar unashindwa hata kunywa bia unaishia kuwa bize kuminya pumbu diara asifungwe ili kesho vijiwe vya pool table tupate hata vya kuongea🚮🙌
Duh! Wewe unashabikiaje mpira kwani? Unaingia na matokeo au unaingia kwa mumdharau mpinzani?
 
Nafasi nnayo ila hii timu yetu kwa sasa kiwango kipo chini sana. Tunashinda lakini furaha duni sana.
Tunaingia na matokeo uwanjani ndio shida ya timu zetu.

Leo wameonyesha utofauti japo umakini kwa washambuu
Mwaka huu tumeshawapisha Simba. Simba alimtwanga Mashujaa 6, sisi tunaishia viwili tu.
Unataka kushinda kama Simba? Mpira haupo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…