FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa | Ligi Kuu NBC |KMC Complex | 12:30 Jioni | 27 Oktoba, 2026. Yanga warejesha makali yao

Shaulile profile aliyokuwa nayo na anachofanya uwanjani kwasasa ni hovyo. Kapoteza nafasi nyingi sana aisee.
Na mchoyo hataki kutoa pasi kwa wenye nafasi wafunge anaishia kugongesha mpira kwa kipa na wala ajali..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…