Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 714
- 755
Ngoja mvua ya Warabu iwanyeshee kwanza kesho ndo akili za Robertinho wenu mzione zilivyo mgando.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yanga shangilieni sana Robertinho kaz yake ni kuwagonga nyie
Draw watapata kwakoHuu sasa usenge, hata droo itawashinda
Bado hujasema Shabiki Liandamizi la Kolowizards, na utasema tu [emoji1]YANGA tamu nyie
Umbumbumbu na ustaarabu wapi na wapi?Kuwa mstaarabu
Mie sio shabiki wa Mashujaa, umenifananisha.Mmesahau yule mganga wenu ndo na sisi tunamtumia? Tutapambana mpk kieleweke
Amalizane na waarabu kwanza, kisha Mashujaa wanamngoja.Yanga shangilieni sana Robertinho kaz yake ni kuwagonga nyie
Bwahaaaaaaaa [emoji1732][emoji38][emoji28][emoji851][emoji4][emoji16][emoji847][emoji23][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji1732][emoji119][emoji2960]Makolo yamejificha saivi tafikiri malaya aliyeona defender la polisi[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mda wake wa kubadili ID umefikaBado hujasema Shabiki Liandamizi la Kolowizards, na utasema tu [emoji1]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hongereni kwa ushindi, na angalau mmelinda utamu wa ligi, kuwapita sita au tano mapema hivi ingeharibu utamu wa ligi. Tungekuja kuwafunga ndio zingekuwa tisa.Mnasemajeeeeeeeeee? Nimesema niniiiiiii?
Tunaondoka na mpira leoooooo.
Nakufaaaaaaa, raha hizi kubwa sana jamani!
Tamka Aziz Kiiiiii mara 3 we koloGooooooooooooo
Linapigwa jitu hapa mpaka limetoka damu
Haya jichekesheUto msikimbie kibanda, sasa nitamcheka nani
Unajitukana mwenyewewwwHuu sasa usenge, hata droo itawashinda
POPOTE ULIPO MWANANCHIA citizen for life
Kama bati ni mbaya waezeke hata makuti πππAzam wana Bahati mbaya sana.
Arsenal aliongoza mechi karibu 31 msimu uliopita lakini akaambulia kombe la kutawadhia....Hongereni kwa ushindi, na angalau mmelinda utamu wa ligi, kuwapita sita au tano mapema hivi ingeharibu utamu wa ligi. Tungekuja kuwafunga ndio zingekuwa tisa.
Bora mmepata matokeo leo.
Ova
Kafunga maramadhani na makwaresmaFei Toto kafunga mangapi?
Mimi sikuwa na presha yoyote kwani najua Azam ni vibonde tu wa Yanga. Azam sasa wakamalizie hasira zao kwa vibonde wao Simba. Tatizo langu ni IHEFU
Afadhali, mashuti hayakutoka!Kafunga maramadhani na makwaresma
Ngoja ntafute lidemu linene