FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Mnasemajeeeeeeeeee? Nimesema niniiiiiii?
Tunaondoka na mpira leoooooo.
Nakufaaaaaaa, raha hizi kubwa sana jamani!
Hongereni kwa ushindi, na angalau mmelinda utamu wa ligi, kuwapita sita au tano mapema hivi ingeharibu utamu wa ligi. Tungekuja kuwafunga ndio zingekuwa tisa.

Bora mmepata matokeo leo.

Ova
 
Arsenal aliongoza mechi karibu 31 msimu uliopita lakini akaambulia kombe la kutawadhia....
 
Back
Top Bottom