FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Azam bado sana Kwa yanga
Kama ningekuwa nabet basi ningempa yanga
 
Azam azam azam nakuitaa mara tatu azam........
Akamikoooo kama kawaidaaaa vunjaaaaaaa miguuu nasema akamikoooooo vunjaaaaa miguuuuu hawa wapuuuziiiiii
Aziz k*ma
Maxmseng*
Skundu
Mzinyeee
Mudafilw*..........
Punguza chuki
 
"MASHABIKI YA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE YANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE YANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI"

- DR LUC EYMAEL 2020
 
AFL kwa hapa Bongo ishaisha

Simba kesho anatolewa
 
Yanga 2,Azam 0.
Kila la heri Dar Young African
 
Mi mwanamke ujue? Kwenda sehemu hizo peke yangu siwezi. It’s either home au ofisini na mara chache uwanjani ndiko huangalizia mpira.
Mshawishi mwamba muende, au la, pakua azammax kwenye simu.
 
Unapaswa kusikilizwa Wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…