FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Mpaka huo muda kufika sijui wenye nchi yao watakuwa wamerudisha umeme? Mambo ya kipuuzi sana yanaendelea…
Naweza kukosa mechi hivihivi!
Baada ya kupatwa na changamoto km hiyo siku za nyuma nikadanlod app ya Azam max alaf nikatupia umo namba za king'amuz kwa najigweda tu ingawaje lile vaib la makelele huwa nalikosa[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Kila la kheri wananchi [emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]
Ukitaka kuepuka maumivu kwenye mechi hii hauna budi kushabikia Yanga ,japo mimi ni Azam leo nimeamua nishabikie Yanga kwa mechi hii tuu maana ukienda kwengine maumivu hayaepukiki .

Makolo fuateni ushauri huo..
 
Wameshachukua umeme wao alafu haya masenge yanataka mwakani na mwaka 2025 yachaguliwe tena na yatutawale. Pumbavu zao.
 
Litakufa Jitu Kama Kule Ubaruku Yaani Ghafla Povu Puani Na Mdomoni
 
Baada ya kupatwa na changamoto km hiyo siku za nyuma nikadanlod app ya Azam max alaf nikatupia umo namba za king'amuz kwa najigweda tu ingawaje lile vaib la makelele huwa nalikosa[emoji41][emoji41][emoji41]
Ninayo ila sipendi kuitumia maana napenda kuijadili mechi wakati inaendelea na wadau hapa.
Lakini zaidi nitachat vipi na babe sasa?
Dakika 45 nyingi sana bila kumsikia.
 
Hizi mechi kubwa Bajana ana zikamiaga sana mpaka kufikia hatua ya kucheza rafu za kijinga.
 
Mngejenga uwanja wenu Bunju
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…