Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Hayupo, angekuwepo unadhani ningelia lia hivi?Mshawishi mwamba muende, au la, pakua azammax kwenye simu.
Azam Max itatumika ila sipendi basi tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayupo, angekuwepo unadhani ningelia lia hivi?Mshawishi mwamba muende, au la, pakua azammax kwenye simu.
Baada ya kupatwa na changamoto km hiyo siku za nyuma nikadanlod app ya Azam max alaf nikatupia umo namba za king'amuz kwa najigweda tu ingawaje lile vaib la makelele huwa nalikosa[emoji41][emoji41][emoji41]Mpaka huo muda kufika sijui wenye nchi yao watakuwa wamerudisha umeme? Mambo ya kipuuzi sana yanaendelea…
Naweza kukosa mechi hivihivi!
.Daima mbele......! Kila kheri wananchii
AibuuuuuuYanga ni kitimu flan hv cha mtaani.... Wahuni flan hv wameunda timu, in short ni kikundi flani cha wahuni yaani ni km ka squad ka vichaa
Ukitaka kuepuka maumivu kwenye mechi hii hauna budi kushabikia Yanga ,japo mimi ni Azam leo nimeamua nishabikie Yanga kwa mechi hii tuu maana ukienda kwengine maumivu hayaepukiki .Kila la kheri wananchi [emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]
Umekumbwa nini leo?Kila la kheri wananchi [emoji617][emoji617][emoji617][emoji617]
Weweyanga tukifungwa na leo sitaki tena soka
Ninayo ila sipendi kuitumia maana napenda kuijadili mechi wakati inaendelea na wadau hapa.Baada ya kupatwa na changamoto km hiyo siku za nyuma nikadanlod app ya Azam max alaf nikatupia umo namba za king'amuz kwa najigweda tu ingawaje lile vaib la makelele huwa nalikosa[emoji41][emoji41][emoji41]
Endeleeni kupokea updates kutoka hapa, ama msogee kwenye mabanda umiza.DAH WAMEUKATA BHANA.
Sina tatizo lolote, unanipa pole ya nini?Pole sana mdau [emoji41][emoji41][emoji41]
Bila shaka matarajio yako ni butuSina tatizo lolote, unanipa pole ya nini?
Hizi mechi kubwa Bajana ana zikamiaga sana mpaka kufikia hatua ya kucheza rafu za kijinga.Match Day.
Young African Sports Club Vs Azam Football Club.
Muda 12:30 Jioni.
Benjamin Mkapa Stadium.
Ni game kali, yenye kutaka ushindi.
Je, Azam atakubali kuendelea kuwa kibonde wa Yanga?
Tukutane kwa Mkapa.
Daima Mbele, Nyuma Mwiko.
All the Best Yanga.
Mngejenga uwanja wenu BunjuHuu uwanja usingetumia kwa vimechi vidogo vidogo kama hivi hadi AFL imalizike. Kuna uchakavu wa pitch, matangazo na maeneo mengine unaenda kufanyika. Sijui hili limeruhusiwa vipi. Kisa tu Yanga wanataka wahakikishe wanacheza mbele ya mabango ya AFL kabla hayajaondolewa.