Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Niko Nao.Una hakika umekaa upande mzuri wenye usalama ambao hutapata bughdha kushangilia pindi CR Belouzidad wakifunga?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uongo wee, mayelee wenu kapigwaaa.Nyie mwenzenu naskia Raha sana yaani timu yangu ya mazembe inaongoza goli mbili hukoo na baadae timu yangu pendwa Kabisa watoto wa jangwani tunashinda goli 4
Hilo sijajuaNaskia kuna tiketi za free boti zinagawiwa uwanjani
LolNimeshakuwa mtani wako?
Angalia ball la Leo ,yanga kama vile man City,si kama mpira wenu wa jana papatu papatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uongo wee, mayelee wenu kapigwaaa.
Musonda kakosa nafasi ya wazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Man city ya kibondee majiii?Angalia ball la Leo ,yanga kama vile man City,si kama mpira wenu wa jana papatu papatu
Hao watatulia tu, waache wafungukeKumbe ndio hayo makelele banda umiza...ya aaaaaaaah