FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Una hakika umekaa upande mzuri wenye usalama ambao hutapata bughdha kushangilia pindi CR Belouzidad wakifunga?
Niko Nao.
Wanakwaza tu, nahisi kama wamelewa sana
 
Nyie mwenzenu naskia Raha sana yaani timu yangu ya mazembe inaongoza goli mbili hukoo na baadae timu yangu pendwa Kabisa watoto wa jangwani tunashinda goli 4
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha uongo wee, mayelee wenu kapigwaaa.
 
Back
Top Bottom