Hivi kumbe hawajapita Mkuu? πHatimaye...
Sasa nguvu tuweke kwa Simba nayo ipite...
wamejichangany kweny mfumo hakuna namnaUnajua Waarabu wamekuwa mafala sana
huyu kasha lewa mafanikio na historia kuishia robo, mwenzake unamwona anavyo pambana ye kasha lewa sifaHatimaye...
Sasa nguvu tuweke kwa Simba nayo ipite...
Mpira hawachezi binadamu unadhani kutakuwa na matokeo gani zaidi haya matani ππWale wa kelele za Majini matokeo ndo kama haya jamani. ππ
Wale wa kelele za Majini matokeo ndo kama haya jamani. ππ
HahahahaHivi kumbe hawajapita Mkuu? [emoji23]
mzee hapokei simu hadi zipite siku mbiliAngalia wasije kukutukana tu π€£π€£
Naunga mkono hojaHaya nendeni mka edit manyuzi yenu
tunaenda mchapa al ahly kwao ajue kabisa tuna litaka na hiliHongera Yanga Kwa kufuzu robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika Kwa mara ya kwanza ππππ