FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Kwa niaba yangu mwenyewe, familia yangu na wanainchi wote wa Jimbo langu...

Nawapongeza sana timu ya wanainchi YANGA AFRICA kwa soka safi sana la kuvutia, na zaidi sana nawapongeza sana kwa kuliwakilisha vema Taifa, katika michiano hii muhimu sana ya kimataifa barani Africa..

Mungu Ibariki Yanga,
Mungu Ibariku Tanzania...
 
Wanaangali head to head mkuu Yanga kashaenda robo mkuu

Hapo nimeelewa Kwahiyo haitajalisha CR belouzad atashinda Magoli Mangapi?
Hata Akishinda 5!
Yaani akamzidi yanga Idadi ya Magoli ya Kufunga,Wataangalia tuu Head to head kati ya Yanga na CR belouzadad?
 
Tunawataka wote mlioiombea Yanga mabaya mrudi hapa muombe radhi. La cvyo tunawaloga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…