FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Tusimame kama taifa, timu 2 zipite makundi...

Wageni wawe wanaogopa kuja Tanzania...
Hiyo kikweli mimi siiwezi kabisa

Nilijaribu siku moja lakini nikajikuta nashindwa.

Hata humu we si unaona tulivyokuwa victims?

Ila ikitokea wamecheza vizuri mi nitatoa tu pongezi
 
Hapo nimeelewa Kwahiyo haitajalisha CR belouzad atashinda Magoli Mangapi?
Hata Akishinda 5!
Yaani akamzidi yanga Idadi ya Magoli ya Kufunga,Wataangalia tuu Head to head kati ya Yanga na CR belouzadad?
Ndo hvo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…