Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Wavushwe na majini ama vibwengo au vinyamkera hatuwezi kuwapongeza, fatilia ligi mbalimbali duniani utagundua kitu.Mkuu, imagine hayo majini yakawavusha robo fainali tutasema nini?
Sisi tunafika hadi nusu mzeeSasa robo fainali nayo ni habari mpya kwa Simba?
Nyie mnavumna rekodi zenu wenyewe
Sisi huko kwenye robo sio malengo kabisa
Uzuri unajuwa San mpira directly tumetimbaaaMpira hauitaji hasira...unaweza kufa kwa jakamoyo...ni bora uangalie mambo mengine...yani hawa uto ni wa kufuzu direct hivi...aaah nyieee
Bwashee ongea mpira sio ushabiki hii Yanga SC ni timu hatari sana ikifanya vizuri ipe sifaWavushwe na majini ama vibwengo au vinyamkera hatuwezi kuwapongeza, fatilia ligi mbalimbali duniani utagundua kitu.
Hawa Uto ni wasindikizaji tu hawana lolote jipya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitawafurahishaaa mbonaaa.Pole Mtani ndo ujue kila muosha uoshwa. Hapo wanakusubiria kwa hamu.
Mie naombea game iende ndivyo sivyo ili wakusuuze vizuri. [emoji1729][emoji1729]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hawa sio Uto ni majini matupu yanacheza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wenye nafas zao hapo na wenyeji wanakuja, nyie wageni acheni wengee bas.Sema hii ni ligi ya mabingwa na mabingwa wa Nchi wote wameshafuzu kabla ya kumaliza mechi zao tunawasubiria viti maalum watuongezee idadi ili akidi itimie[emoji23][emoji23]
Sijaona kipya kilichofanywa na Uto kwa mechi ya leo, wala haina uhatari wowote hivyo sioni sababu ya kuipa sifa timu yenye jezi za njano na kijani kibichi.Bwashee ongea mpira sio ushabiki hii Yanga SC ni timu hatari sana ikifanya vizuri ipe sifa
That sounds inferiorIt's because I'm not feeding your ego mkuu
You can just put me in ignore listThat sounds inferior
iyo buku vpMkishinda hii mechi ya waarabu mje mniombe buku nimekaa paleeee
Yaani mnakandwa kwa Lupaso na mnasugulia Misri
Pitia reply za mwanalunyasi tukuka Scars kalidadavua hili kwa uzuri.Kwanini Unassma wameshafuzu wakati bado Mechi ya Mwisho Al Ahly vs Yanga na CR belauzidad na Medeama
Vipi Yanga Akifungwa na Al Ahly halafu Beloizdad akampiga Medeama?
daaah kama ulijuaKaka hii ni Jioni ya Leo baada ya ushindi wa goli nne dhidi ya belouizdad 😂😁🤣🤣
Bila shaka wewe ni miongoni mwa wajumbe wa mkutano mkuu wa mbumbumbuBelouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.
Kwahiyo sio lazima Belouizdad amfunge Medeama 6 bali hata ahly akimfunga Yanga 5 kisha Belouizdad akashinda 3 Yanga safari inaishia hapa.
Kwenye mpira lolote linawezekana kama ilivyowezekana kwa kibonde Yanga kumfunga Belouizdad.
Bishana na CAF wenyeweYanga bado hawatapita hili kundi, mechi ijayo anapoteza kwa Ahly halafu Belouzidad wanashinda dhidi ya Medeama. Safari ya Yanga itakomea hapo