Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Wavushwe na majini ama vibwengo au vinyamkera hatuwezi kuwapongeza, fatilia ligi mbalimbali duniani utagundua kitu.Mkuu, imagine hayo majini yakawavusha robo fainali tutasema nini?
Hawa Uto ni wasindikizaji tu hawana lolote jipya.