FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Mkuu, imagine hayo majini yakawavusha robo fainali tutasema nini?
Wavushwe na majini ama vibwengo au vinyamkera hatuwezi kuwapongeza, fatilia ligi mbalimbali duniani utagundua kitu.

Hawa Uto ni wasindikizaji tu hawana lolote jipya.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Pole Mtani ndo ujue kila muosha uoshwa. Hapo wanakusubiria kwa hamu.

Mie naombea game iende ndivyo sivyo ili wakusuuze vizuri. [emoji1729][emoji1729]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitawafurahishaaa mbonaaa.
 
Sema hii ni ligi ya mabingwa na mabingwa wa Nchi wote wameshafuzu kabla ya kumaliza mechi zao tunawasubiria viti maalum watuongezee idadi ili akidi itimie[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wenye nafas zao hapo na wenyeji wanakuja, nyie wageni acheni wengee bas.
 
Bwashee ongea mpira sio ushabiki hii Yanga SC ni timu hatari sana ikifanya vizuri ipe sifa
Sijaona kipya kilichofanywa na Uto kwa mechi ya leo, wala haina uhatari wowote hivyo sioni sababu ya kuipa sifa timu yenye jezi za njano na kijani kibichi.
 
Belouizdad akimfunga Medeama 4 bila kisha Al Ahly akamfunga Yanga 4 bila anaenda robo fainali Ahly na Belouizdad.

Kwahiyo sio lazima Belouizdad amfunge Medeama 6 bali hata ahly akimfunga Yanga 5 kisha Belouizdad akashinda 3 Yanga safari inaishia hapa.

Kwenye mpira lolote linawezekana kama ilivyowezekana kwa kibonde Yanga kumfunga Belouizdad.
Bila shaka wewe ni miongoni mwa wajumbe wa mkutano mkuu wa mbumbumbu
 
Yanga bado hawatapita hili kundi, mechi ijayo anapoteza kwa Ahly halafu Belouzidad wanashinda dhidi ya Medeama. Safari ya Yanga itakomea hapo
Bishana na CAF wenyewe
1708800277628.jpg
 
Back
Top Bottom