FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Ratiba ya marudio ikoje kwa Azam. Jana nimeangalia mechi nimewaka nataka niiangalie tena kichwa kikiwa sawa.
 
Video za magoli ziko wapi, naona hawa caf wanachelewa kupost highlights
 
Ili Cr belouzdad ipite inahitaji kuifunga modeama
goli 6-0
kisha Al ahly amfunge YANGA goli 2-0

Ushindi wa 4-0 umeibeba yanga mpk robo fainal
Hivi Simba hamjaamini tu kwamba imeshaisha hiyo! Tayari CAF wameshaipongeza Yanga kwa kuingia robo fainali! Hata akifunga magoli 100 hataenda robo fainali ameishia hapo! Kitakachoangaliwa ni ile head to head kati ya Yanga na CR Belouizdad!
 
Yaaani ingetokea tungefungwa moja basi tungepata wakati mgumu kufuzu tungelazimika kutafuta sare ingawa game ya mwisho ingekuwa ni ngumu wale waaarabu wangeteteana figisu zingemuwa nyingi ila Ahsante mungu mabeki waliliona hili na kuongeza umakini wasipate goli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…