FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Wana Yanga wanashangilia kama vile washapita kwenda robo au hawajui hesabu? Shadeeya
Hesabu gani hiyo unayoisemea ambayo sisi Wananchi pamoja na CAF hatuijui? 😂😂
Screenshot_20240225-144224_Instagram.jpg
 
Video za magoli ziko wapi, naona hawa caf wanachelewa kupost highlights
 
Ili Cr belouzdad ipite inahitaji kuifunga modeama
goli 6-0
kisha Al ahly amfunge YANGA goli 2-0

Ushindi wa 4-0 umeibeba yanga mpk robo fainal
Hivi Simba hamjaamini tu kwamba imeshaisha hiyo! Tayari CAF wameshaipongeza Yanga kwa kuingia robo fainali! Hata akifunga magoli 100 hataenda robo fainali ameishia hapo! Kitakachoangaliwa ni ile head to head kati ya Yanga na CR Belouizdad!
 
Yaaani ingetokea tungefungwa moja basi tungepata wakati mgumu kufuzu tungelazimika kutafuta sare ingawa game ya mwisho ingekuwa ni ngumu wale waaarabu wangeteteana figisu zingemuwa nyingi ila Ahsante mungu mabeki waliliona hili na kuongeza umakini wasipate goli
 
Back
Top Bottom