Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Mayele anaenda azam sio makoloWale safari imeisha, sisi na majini yetu tumesonga mbele.
Nilipata za ndani kuwa Simba wanataka kumchukua msimu ujao, tujiandae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mayele anaenda azam sio makoloWale safari imeisha, sisi na majini yetu tumesonga mbele.
Nilipata za ndani kuwa Simba wanataka kumchukua msimu ujao, tujiandae.
Eti nini mwasibu feki.Mkuu unisamehe, mimi siwezi kukutakia hata droo tu. Upigweeeeeeee
Chama Hana mpinzani toka enzi mnamfananisha na Azizi Ki sasa Pacome!Chama ajifunze kwa Pacome (Kasi, Nguvu, akili, utulivu)
Nieleweshe UtopoloKolo umechanganyikiwa
Mkuu hii ni mechi nyingine tena ya derby unaianzisha. JiandaeHaha hongereni mtani wangu mstaarabu, wewe na Charles kilian ndio mashabiki pekee wa Yanga mnaojielewa humu JF, wengine wote ni vibwengo tu [emoji1787][emoji1787]
Hivi Simba hamjaamini tu kwamba imeshaisha hiyo! Tayari CAF wameshaipongeza Yanga kwa kuingia robo fainali! Hata akifunga magoli 100 hataenda robo fainali ameishia hapo! Kitakachoangaliwa ni ile head to head kati ya Yanga na CR Belouizdad!Ili Cr belouzdad ipite inahitaji kuifunga modeama
goli 6-0
kisha Al ahly amfunge YANGA goli 2-0
Ushindi wa 4-0 umeibeba yanga mpk robo fainal
Hivi Simba hamjaamini tu kwamba imeshaisha hiyo! Tayari CAF wameshaipongeza Yanga kwa kuingia robo fainali! Hata akifunga magoli 100 hataenda robo fainali ameishia hapo! Kitakachoangaliwa ni ile head to head kati ya Yanga na CR Belouizdad!
Sasa si utanuke nimalize mkuu?Kojoa ukalale