FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Naomba kujua, hivi kwanini game za Simba hakuna maajabu kama kafa sisimizi tu ila akicheza Yanga kuna vibe kali sana
Yani Taifa lote linaamka, hiv kuna siri gani kati ya Yanga na hii nchi yetu?
Kwani kuna maajabu gani ambayo yameonekana kwenye hii mechi?

Yamefanyikia wapi hayo maajabu?

Pengine sipo katika location sahihi ndio maana sijayaona.

Au kwasababu mna Okrah Magic ndio maana mnasema kwenu kuna maajabu?
 
😂😂 ubunifu kwao ni zeroo.
Hapa nadhani inategemea na tafsiri yako ya ubunifu.

Nimesikikiza interviews za baadhi ya mashabiki wa Yanga ambao ni Smart upstairs wengi hawajaona kupaka bleach kama ni sehemu ya ubunifu.

Sio kila kinachopewa airtime na kuzungumziwa kila mara ni product ya ubunifu.
 
Kwani kuna maajabu gani ambayo yameonekana kwenye hii mechi?

Yamefanyikia wapi hayo maajabu?

Pengine sipo katika location sahihi ndio maana sijayaona.

Au kwasababu mna Okrah Magic ndio maana mnasema kwenu kuna maajabu?
Tuna pa omary mwaijobe
 
Picha za uwanjani jamani
Kina square meter 25x30

Huduma za kijamii zipo jirani kabisa na kama unavyoona hapo pichani kuna nguzo za TANESCO

Halafu sio mbali kutoka barabara kuu

1708785368612.png
 
nawaonea yanga huruma sana maana kikombe kilichopo mbele yao ni cha cubic meter 1 millions cjui watakinywje?
 
Vipi papaa boko amepona busha?
Hayo ni mambo yenu ya chumbani bana mimi siwezi kujua

Mzize tuliona halaiki kupitia Camera za Azam

Nadhani pengine ndio sababu iliyomfanya Okrah aanze kuvaa mask kuepuka maambukizi.
 
Back
Top Bottom