Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
🙏Best wishes watani..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏Best wishes watani..
Kwani kuna maajabu gani ambayo yameonekana kwenye hii mechi?Naomba kujua, hivi kwanini game za Simba hakuna maajabu kama kafa sisimizi tu ila akicheza Yanga kuna vibe kali sana
Yani Taifa lote linaamka, hiv kuna siri gani kati ya Yanga na hii nchi yetu?
Hapa nadhani inategemea na tafsiri yako ya ubunifu.😂😂 ubunifu kwao ni zeroo.
Majini yetu tumeyabebaMajini yanafanya kazi, Mayele kaumia Dakika ya 8 tu.
Arudi tu kuja kuomba msamaha Uto wasiendelee kumloga
Nimeshakuwa mtani wako?Hongera zako Mtani.
Tuna pa omary mwaijobeKwani kuna maajabu gani ambayo yameonekana kwenye hii mechi?
Yamefanyikia wapi hayo maajabu?
Pengine sipo katika location sahihi ndio maana sijayaona.
Au kwasababu mna Okrah Magic ndio maana mnasema kwenu kuna maajabu?
Kina square meter 25x30Picha za uwanjani jamani
Sijui itakuwaje baada ya mechi 😂😂Wapo wa Kumwaga.
Vijana wa Papa [emoji2957]
Hivi Mzize alipona red eyes?Tuna pa omary mwaijobe
Majaribu kucheki location yako hapa nikutupie kajini kamoja kakuweke sawa weekend hii.Kina square meter 25x30
Huduma za kijamii zipo jirani kabisa na kama unavyoona hapo pichani kuna nguzo za TANESCO
Halafu sio mbali kutoka barabara kuu
View attachment 2914830
Vipi papaa boko amepona busha?Hivi Mzize alipona red eyes?
Bora yako wewe umeonesha umbumbumbu wako mapema [emoji16][emoji16][emoji1787]Tunajua. Uto atafungwa na kibonde au kumfunga kibonde
Hayo ni mambo yenu ya chumbani bana mimi siwezi kujuaVipi papaa boko amepona busha?
Ile okra anayovaa inaitwa"Magic Mask" n balaa anakua na mauwezo twiceHayo ni mambo yenu ya chumbani bana mimi siwezi kujua
Mzize tuliona halaiki kupitia Camera za Azam
Nadhani pengine ndio sababu iliyomfanya Okrah aanze kuvaa mask kuepuka maambukizi.