Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kwa Yanga hii hata akija Real Madrid tunampiga tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah! aongeze moja tu amalize mchezo.Yaani yanga anatakiwa awe na magoli mengi tu aliyoshinda kwenye mechi ma belouzdad amepita
Hatakama mechi ya mwisho akifungwa
Mkuu, jamaa wanatisha. Mpaka nimeingia woga itakuaje tukikutana nao tena.Dahh! Mimi Simba SC, nimewapa salute utopolo united, they play like European big clubs!
Hongereni watani, mko njema #Simbasc#
Yanga ashinde dhidi ya all ahly au atoe sare, afu belouzdad nae ashinde, wataangalia h2h.
Yaani acha tu mwaya. 😂Ule Uzi unachekesha, afu kuna ule wa Mayele Vs Kibu D 🤣🤣🤣🤣
Lazima watapoteza Uto ni Uto tu mkuuHata Uto...bado ana next match kule Cairo, huenda lolote likatokea.
😂😂😂😂😂Mrembo upo? Nimeadimika jamvini. Naona leo mmeamua kutukera.
😂😂😂 kabisaYanga malizeni mpira sasa tuhamie "kihasibu" kwa mwasibu wetu okw
Aziz K atawacost wenzake kwa kukosa goli 4. Mechi imebaki mkononi mwenu Uto mpate goli 2 zingine mjihakikishe kufuzu.
Mpaka hapa Uto....anahitaji goli moja tu amalize mchezoLazima watapoteza Uto ni Uto tu mkuu