FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sisi hatuna wasi wasi, yaan wydad hata ashinde 100, sisi jwaneng tunawakalishaaa na tunaingiaa roboo, mbona hata CAF wanajua na nafas yetu iko pale pale.
Najua utapotezea quotes zangu ndio sababu unaandika hivi Mtani. 😂😂

Yakikufika hujibugi unapita kama huoni.
 
Kwanini Unassma wameshafuzu wakati bado Mechi ya Mwisho Al Ahly vs Yanga na CR belauzidad na Medeama
Vipi Yanga Akifungwa na Al Ahly halafu Beloizdad akampiga Medeama?


hebu nidadavulie ndugu mi mzee
Ili Cr belouzdad ipite inahitaji kuifunga modeama
goli 6-0
kisha Al ahly amfunge YANGA goli 2-0

Ushindi wa 4-0 umeibeba yanga mpk robo fainal
 
Najua utapotezea quotes zangu ndio sababu unaandika hivi Mtani. [emoji23][emoji23]

Yakikufika hujibugi unapita kama huoni.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtaniiiii, mie nisijibu quotes why?
C ndo km hivi, niko winja winja hapaaa.
 
Back
Top Bottom