FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

Saizi mtakuwa mmebaki wawili maana namimi nimeamua tu bora nisepe.

Na huyo mmoja usione amekomaa ukajua anafurahishwa na mechi, ni hivyo tu kwasababu ndio mwenye banda.

So inshort ni kwamba upo peke yako
Mimi si Mshabiki wa Yanga lakini niwe mkweli...

Nimefika hapa Banda umiza, yaani kumejaa pomoni...kuna watu sio chini ya 500 mpaka nafasi nimekosa

Cha kushangaza mpaka mashabiki wa Simba wapo, wanadai kuwa wao wamekuja kuangalia mpira mzuri wa pasi
 
Wachezaji wengine hawajitambui kwa kweli una kadi ya njano halafu unatandika reli refa hawezi kukuacha
 
Back
Top Bottom