FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

FT: Yanga SC 4-0 Pamba jiji SC | NBC Premier League | Azam Complex | Octoba 03, 2024

Mpira umesimama zaidi ya Dakika 8.
Lakini wataongeza Dakika 3.
Wapumbavu sana
 
Screenshot_20241003_202403_Instagram.jpg
 
Mchezaji kafanyiwa faulo nje ya box lakini kayumba yumba mpaka kaangukia kwenye box

Na refa kwa sababu ni sehemu ya script wala hata hakutaka kujiuliza mara mbili
Gsm anaharibu Ligi yetu hawa Pamba wanacheza huku wanatembea aisee nimeshangaa mnoo.
 
Back
Top Bottom