FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

Yani Yanga hakuna kitu wanafanya simba haijafanya..msimu uliopita tulimaliza ligi na magoli lukuki tena tulikua tunavichabanga hivi vi timu magoli mengi mengi 5,6,4...hatukua na kelele wao mayele wao akifunga kamoko au viwili baaasiii...ila yani wao sasa ki timu kama polisi ni kelele kitimu kilishajichokea kikashuka na daraja...vyura kweli kweli aisee..
Si ndio hapo sasa yani mwaka jana tu hapo tuliwapiga Sita na wala hatukupiga kelele ila eti wao wanaona maajabu [emoji3][emoji3]
 
Marefa wakibongo wakoje?
Unamalizaje mpira ukiwa kwenye kona?
 
Halafu kombe mukabeba pia. Hongereni sana 5imba
Yani Yanga hakuna kitu wanafanya simba haijafanya..msimu uliopita tulimaliza ligi na magoli lukuki tena tulikua tunavichabanga hivi vi timu magoli mengi mengi 5,6,4...hatukua na kelele wao mayele wao akifunga kamoko au viwili baaasiii...ila yani wao sasa ki timu kama polisi ni kelele kitimu kilishajichokea kikashuka na daraja...vyura kweli kweli aisee..
 
Yani Yanga hakuna kitu wanafanya simba haijafanya..msimu uliopita tulimaliza ligi na magoli lukuki tena tulikua tunavichabanga hivi vi timu magoli mengi mengi 5,6,4...hatukua na kelele wao mayele wao akifunga kamoko au viwili baaasiii...ila yani wao sasa ki timu kama polisi ni kelele kitimu kilishajichokea kikashuka na daraja...vyura kweli kweli aisee..
Polisi nae kaona wivu inakuaje 5imba apigwe 5G na yeye nani asionje utamu wa 5G
 
Kitu gani? Polisi hao ndo mnakenua kweli? Mnajiita timu kubwa halafu mnakenua kwa polisi nyie mmeona wamecheza kweli au wanakimbia kimbia tuu humo uwanjani... [emoji38] [emoji38] ...hapa hata majini hamjatumia walai
Polisi na Simba wana tofauti gani?
 
Back
Top Bottom