FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

Kitu gani? Polisi hao ndo mnakenua kweli? Mnajiita timu kubwa halafu mnakenua kwa polisi nyie mmeona wamecheza kweli au wanakimbia kimbia tuu humo uwanjani... 😆 😆 ...hapa hata majini hamjatumia walai
Wewe kitulize naona tano bado zinakuwasha. Unavyozidi kusema ndio zitaendelea kuwasha zaidi
 
Attachments

  • JamiiForums-681928879.jpg
    JamiiForums-681928879.jpg
    64.7 KB · Views: 2
Huu ni mpila tu ndugu zangu wa 5G, makasiriko hayatakiwi
Mnatuchosha na hizo 5 timu inayojinasibu kubwa ambayo haitumii nguvu za ziada haiwezi imba goli 5 mwaka mzima mnakuwa washamba au ni majini kweli yalitumika mpk leo hamuamini....kitu ambacho mnyama alikua anawala tuu vitimu kama hivyo msimu uliopita...
 
Kitu gani? Polisi hao ndo mnakenua kweli? Mnajiita timu kubwa halafu mnakenua kwa polisi nyie mmeona wamecheza kweli au wanakimbia kimbia tuu humo uwanjani... 😆 😆 ...hapa hata majini hamjatumia walai
Tulivyowapiga 5G mlikuwa mnacheza au mnakimbia uwanjani?
 
Yani Yanga hakuna kitu wanafanya simba haijafanya..msimu uliopita tulimaliza ligi na magoli lukuki tena tulikua tunavichabanga hivi vi timu magoli mengi mengi 5,6,4...hatukua na kelele wao mayele wao akifunga kamoko au viwili baaasiii...ila yani wao sasa ki timu kama polisi ni kelele kitimu kilishajichokea kikashuka na daraja...vyura kweli kweli aisee..
Toka mpigwe 5 mme kua na wivu sana hamtaki na wenzenu wachapwe vitano
 
Mnatuchosha na hizo 5 timu inayojinasibu kubwa ambayo haitumii nguvu za ziada haiwezi imba goli 5 mwaka mzima mnakuwa washamba au ni majini kweli yalitumika mpk leo hamuamini....kitu ambacho mnyama alikua anawala tuu vitimu kama hivyo msimu uliopita...
Mkuu kunywa maji mengi, makasiriko ya nini? Mpira ni furaha na we hauelewi maana ya utani wa jadi?
 
Mnatuchosha na hizo 5 timu inayojinasibu kubwa ambayo haitumii nguvu za ziada haiwezi imba goli 5 mwaka mzima mnakuwa washamba au ni majini kweli yalitumika mpk leo hamuamini....kitu ambacho mnyama alikua anawala tuu vitimu kama hivyo msimu uliopita...
Kumbe tano bado zinawauma hivi? Tutaendelea kuwakeraaaaaa
 
Back
Top Bottom