FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

Si ndio hapo sasa yani mwaka jana tu hapo tuliwapiga Sita na wala hatukupiga kelele ila eti wao wanaona maajabu [emoji3][emoji3]
 
Marefa wakibongo wakoje?
Unamalizaje mpira ukiwa kwenye kona?
 
Si ndio hapo sasa yani mwaka jana tu hapo tuliwapiga Sita na wala hatukupiga kelele ila eti wao wanaona maajabu [emoji3][emoji3]
Ni mishamba na milimbukeni aisee...
 
Halafu kombe mukabeba pia. Hongereni sana 5imba
 
Polisi nae kaona wivu inakuaje 5imba apigwe 5G na yeye nani asionje utamu wa 5G
 
Kitu gani? Polisi hao ndo mnakenua kweli? Mnajiita timu kubwa halafu mnakenua kwa polisi nyie mmeona wamecheza kweli au wanakimbia kimbia tuu humo uwanjani... [emoji38] [emoji38] ...hapa hata majini hamjatumia walai
Polisi na Simba wana tofauti gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…