FT: Yanga SC 5-0 Polisi Tz | ASFC | Azam Complex | 20.02.2024

Naushauri uongozi wa Yanga utafakari kutumia uwanja wa Chamazi kwa MECHI ZIJAZO Sababu Azam nao wana timu na wanataka ubingwa hivo kutumia uwanja wa Chamazi mnakaribisha hujuma toka Azam FC.Na hata pia wale jamaa !
Nawasilisha
Azam kwa Yanga hawana madhara,Huoni Simba wanaukimbia? Mara Mwanza mara twende Unguja.....Yanga chamazi ni nyumbani kuliko hata Azam wenyewe πŸ˜€
 
Marehemu kila baada ya muda hua anakumbukwa kwa kuombewa. So, relax bibie na uzoee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…