Utopolo wakitaka niwape heshima huku walipo waanzie robo fainali kwenda mbele, lakini hawa Mazembe wa siku hizi ni timu nyepesi sana, ndio maana walipigwa na Vipers inayoteseka klabu bingwa, next week naenda piga mtu kwake.
 
kuidharau TP mazembe kwa sababu wamefungwa na yanga ni sign ya mtu asiyejua mpira, kwa kipindi hichi yanga wako vizuri sana...wanacheza attacking football kwa kasi sana...sio wazee wa mkapa hatoki mtu alafu wanacheza kwa kuvizia vizia kwa temple ya hali ya chini....kwa matokeo yoyote watakayoyapata yanga kwa sasa ni timu bora...naiona robo fainal
 
Uwiiii kuna jamaa wa Simba pale Tabata Bima kabet akiwa bar jana, eti Yanga ikishinda leo atampa Mke wake Jay Jay shabiki wa Yanga, leo Jay Jay anaenda kumla mke wa shabiki wa Simba aiseee

Jamani msibeti hadi wake zenu, mpira mchezo hatari sana.. 🇨🇨🇨🇨🇨🇨💚💚💛💛💛
 
Huyo Jay Jay akimumaliza huyo mchuchu anipasie na Mimi nimalizie ukame
 
Huyo Jay Jay akimumaliza huyo mchuchu anipasie na Mimi nimalizie ukame
Alafu mke wa Shabiki wa Simba nae jana yuko pale bar kavaa jezi ya Simba anasema yuko tayari, akiaamini Yanga haiwezi funga TP Mazembe, alafu saa hz wako bar hii hii wanasubiria mpira uishe... Ah ha haaaa nyiee

Watu wanashabikia mke wa jamaa kuliwa leo, hii imekaaje jamani ha haa
 
Ni kweli Yanga wanaimarika na wamesajili vizuri. Yanga nikiitazama naona tishio msimu unaofata iwapo Simba hatutasajili vizuri.

Unajua sisi Simba tulikuwa na tatizo ambalo lilitufanya tukasahau kuwapa pressure ya usajili viongozi.

1. Propaganda za usajili wa majina makubwa

2. Kufunga goli nyingi mechi zisizo na umuhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…