Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
45+1' sub kwa Mazembe
Tandi Mwape Kaingia
Mpeko out
Tandi Mwape Kaingia
Mpeko out
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo wakitaka niwape heshima huku walipo waanzie robo fainali kwenda mbele, lakini hawa Mazembe wa siku hizi ni timu nyepesi sana, ndio maana walipigwa na Vipers inayoteseka klabu bingwa, next week naenda piga mtu kwake.Jana wakati tunarudi home nilikuwa na mabishano na mashabiki wa Simba wakisema kwamba sababu ya sisi kupoteza game imechangiwa na ubovu wa washambuliaji tulionao
Sikuwapinga kwasababu ya comparison yao walitumia timu kubwa yenye Quality player kutuzidi sisi.
Mpaka pale nilipomsikia mmoja akisema Baleke sio striker mzuri kwasababu hakuna namna Tp Mazembe anaweza akakuachia mchezaji wake umnunue ambaye ni mchezaji bora.
Nikawaambia hiyo ilikuwa zamani sio sasa, kama umeona Baleke tumeuziwa mbovu ebu fikiria yule Mkoko Tonombe ambaye alikuwa ni Kisinda wa miaka ile amesajiliwa na Tp Mazembe
Tp Mazembe ya miaka hiyo ilikuwa sio ya kupoteza mechi tena nyumbani kwa timu kama ya Vipers.
Mazembe ya miaka hii ni Ihefu yenye makazi Kongo
Punguza uchawi bas kidgo[emoji3][emoji3],usituchawie bwana watu tuna raha zetuuYanga 2-3Tp mazembe
Full time
Hawajakuomba hiyo heshimaUtopolo wakitaka niwape heshima huku walipo waanzie robo fainali kwenda mbele, lakini hawa Mazembe wa siku hizi ni timu nyepesi sana.
Huyo Jay Jay akimumaliza huyo mchuchu anipasie na Mimi nimalizie ukameUwiiii kuna jamaa wa Simba pale Tabata Bima kabet akiwa bar jana, eti Yanga ikishinda leo atampa Mke wake Jay Jay shabiki wa Yanga, leo Jay Jay anaenda kumla mke wa shabiki wa Simba aiseee
Jamani msibeti hadi wake zenu, mpira mchezo hatari sana.. 🇨🇨🇨🇨🇨🇨💚💚💛💛💛
Najua mna makasiriko, lakini ukweli ndio huo, kumfunga reject wako halafu unashangilia ni aina nyingine ya ugonjwa wa akili[emoji1787][emoji1787]Hawajakuomba hiyo heshima
Polee sana Kwa maumivu uliyonayo[emoji1]Najua mna makasiriko, lakini ukweli ndio huo, kumfunga reject wako halafu unashangilia ni aina nyingine ya ugonjwa wa akili[emoji1787][emoji1787]
Alafu mke wa Shabiki wa Simba nae jana yuko pale bar kavaa jezi ya Simba anasema yuko tayari, akiaamini Yanga haiwezi funga TP Mazembe, alafu saa hz wako bar hii hii wanasubiria mpira uishe... Ah ha haaaa nyieeHuyo Jay Jay akimumaliza huyo mchuchu anipasie na Mimi nimalizie ukame
Ingiza timu yako Kwa mtindo ule ule wa kinyume nyume Ili tukuoneshe utamu wa YesuNajua mna makasiriko, lakini ukweli ndio huo, kumfunga reject wako halafu unashangilia ni aina nyingine ya ugonjwa wa akili[emoji1787][emoji1787]
Ni kweli Yanga wanaimarika na wamesajili vizuri. Yanga nikiitazama naona tishio msimu unaofata iwapo Simba hatutasajili vizuri.kuidharau TP mazembe kwa sababu wamefungwa na yanga ni sign ya mtu asiyejua mpira, kwa kipindi hichi yanga wako vizuri sana...wanacheza attacking football kwa kasi sana...sio wazee wa mkapa hatoki mtu alafu wanacheza kwa kuvizia vizia kwa temple ya hali ya chini....kwa matokeo yoyote watakayoyapata yanga kwa sasa ni timu bora...naiona robo fainal
Mkuu Punguza malalamikosupersport dakika zilishaongezwa ila huku ZBC mambo ni tofauti mpka muda huu haifahamiki watu wanacheza dakika za nyongeza au watu wanacheza kipindi cha pili