Hio kitaalamu tunaita kugongewa na kuchapiwa live yaan na booking unaenda kufanya mwenyewe kisha unakabidhi funguo alafu unasubiria maumivu nyuma ya mlango wakati makamuzi yakiwa yanaendelea,
 
Na huyu msemaji wetu aache propaganda zisizo na maslahi kwa timu. Mara nyingi tu nimemsikia akifanya propaganda ambazo hazina uhalisia na si Afya kwa timu.
Naungana na wewe, nachukia watu wanaongea vitu visivyo na uhalisia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…