Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Afadhali umefanya la maana ili wasije kusema hujawaambia Mkuu. [emoji1787]
Yanga 1:Mazembe 2Kuhusu yanga kufungwa siyo mjadala .mjadala wanafungwa goli ngapi?
Kuna kubwa jinga moja jana limeidhalilisha inchi, sasa leo sisi wananchi tunaenda kuipa heshima nchi.
Yanga 2 - 0 Tp masenge
Jana kumbe tulipigwa gwara!!! Mi sikujuaPole kwa yaliyo wakuta juzi kati ulikua una bwabwaja kwamba kwenye kupigwa gwara msha toka umeona jana? Nyie ni wa kawaida sana ila jeuri na kiburi tu
Pamoja na kupigwa kichapo kikali hapo Jana bado una amini hizo mambo?Mbona nasikia kuku alidonoa mahindi 5 kwenye bakuli lililoandikwa Tp Mazembe?
Yanga 1 TP Mazembe 2Young Africans watashuka dimbani kuwakaribisha TP Mazembe ktk mchezo wa kombe la shirikisho afrika.
Yanga ina historia ya kufungwa na Mazembe mara nyingi. Leo wataweza kupindua meza? Yanga wanapaswa washinde ili kulinda heshima ya nchi.
Mazembe wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka na ushindi ktk mchezo huo utakaofanyika saa 1 usiku.
Nimeiscreenshot hii reply yakoYanga ikishinda mm shoga
Heshimu uanaume wako dogoYanga ikishinda mm shoga
Mkuu embu jifunze kuwa na ukubwa hata kama unapenda utoto. Kila nyuzi unapost video hiyo hiyo inamaana hujui kusoma kujua kinachojadiliwa ni kipi kwenye nyuzi husika? Acha utoto
Safi tu,wanunuzi tupo backseat tunasubri ahadi yako..Yanga ikishinda mm shoga
Kirahisi tu uwe shoga kwa sababu ya Yanga kushinda!!!Yanga ikishinda mm shoga