Yanga Wasiseme wameenda kuikoa Nchi. Wameshatutia aibu sanaa Taifa. Simba ni Mechi ya 2/3 Tunafungwa kimataifa…. Yanga ni Zaidi.

Kwa hiyo Msituletee Mbwembwe na Kombeni lenu la Looser…. Kusema Mnaenda Kuokoa Nchi au Kusawazisha Makosa Ya Simba. Simba bado ni Nexr Level. Mnahitaji ku Maintain Kwa Miaka 5 mfululizo kuwafikia Simba Huu ni Mwaka Wenu wa Kwanza na Mshetutia Aibu Hatu ya kusaka nafasi ya Makundi.
 
Next level Kwa kunyweshwa magoli manne kati ya mechi mbili?
 
Bado unateseka na zile tatu mzuka za jana? Tulia nyumbani mkurugenzi. Usije ukaanguka mwenyewe njiani.
 
Ahmed ally: wanathiiiiiiiimbaaa
simba fans: eeeeeeee
ahmed ally: tumefuuuuungwaaaaa
simba fans: 3 mzuuuuka
ahmed ally: thijasikiaa
simba fans: taaaaa3 mzukaaa
ahmed ally: athanten thana.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…