Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Jana wakati tunarudi home nilikuwa na mabishano na mashabiki wa Simba wakisema kwamba sababu ya sisi kupoteza game imechangiwa na ubovu wa washambuliaji tulionaoKumbe hawa rejects wa utopolo ndio wako Mazembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu wanashangilia kuwafunga🫣🫣🫣
Sikuwapinga kwasababu ya comparison yao walitumia timu kubwa yenye Quality player kutuzidi sisi.
Mpaka pale nilipomsikia mmoja akisema Baleke sio striker mzuri kwasababu hakuna namna Tp Mazembe anaweza akakuachia mchezaji wake umnunue ambaye ni mchezaji bora.
Nikawaambia hiyo ilikuwa zamani sio sasa, kama umeona Baleke tumeuziwa mbovu ebu fikiria yule Mkoko Tonombe ambaye alikuwa ni Kisinda wa miaka ile amesajiliwa na Tp Mazembe
Tp Mazembe ya miaka hiyo ilikuwa sio ya kupoteza mechi tena nyumbani kwa timu kama ya Vipers.
Mazembe ya miaka hii ni Ihefu yenye makazi Kongo