FT: Young Africans 3-1 TP Mazembe | CAF Confederation Cup | Mkapa Stadium | 19/02/2023
Kumbe hawa rejects wa utopolo ndio wako Mazembe[emoji1787][emoji1787][emoji1787] halafu wanashangilia kuwafunga🫣🫣🫣
Jana wakati tunarudi home nilikuwa na mabishano na mashabiki wa Simba wakisema kwamba sababu ya sisi kupoteza game imechangiwa na ubovu wa washambuliaji tulionao

Sikuwapinga kwasababu ya comparison yao walitumia timu kubwa yenye Quality player kutuzidi sisi.

Mpaka pale nilipomsikia mmoja akisema Baleke sio striker mzuri kwasababu hakuna namna Tp Mazembe anaweza akakuachia mchezaji wake umnunue ambaye ni mchezaji bora.

Nikawaambia hiyo ilikuwa zamani sio sasa, kama umeona Baleke tumeuziwa mbovu ebu fikiria yule Mkoko Tonombe ambaye alikuwa ni Kisinda wa miaka ile amesajiliwa na Tp Mazembe

Tp Mazembe ya miaka hiyo ilikuwa sio ya kupoteza mechi tena nyumbani kwa timu kama ya Vipers.

Mazembe ya miaka hii ni Ihefu yenye makazi Kongo
 
Inasikitisha sana yaani timu inajipambanua kuwa inajiendesha kibiashara ila uswahili mwingi sana.
Kipigo cha jana kinauma
 
Jana wakati tunarudi home nilikuwa na mabishano na mashabiki wa Simba wakisema kwamba sababu ya sisi kupoteza game imechangiwa na ubovu wa washambuliaji tulionao

Sikuwapinga kwasababu ya comparison yao walitumia timu kubwa yenye Quality player kutuzidi sisi.

Mpaka pale nilipomsikia mmoja akisema Baleke sio striker mzuri kwasababu hakuna namna Tp Mazembe anaweza akakuachia mchezaji wake umnunue ambaye ni mchezaji bora.

Nikawaambia hiyo ilikuwa zamani sio sasa, kama umeona Baleke tumeuziwa mbovu ebu fikiria yule Mkoko Tonombe ambaye alikuwa ni Kisinda wa miaka ile amesajiliwa na Tp Mazembe

Tp Mazembe ya miaka hiyo ilikuwa sio ya kupoteza mechi tena nyumbani kwa timu kama ya Vipers.

Mazembe ya miaka hii ni Ihefu yenye makazi Kongo
mkuu mahaba yatakuuaa
1. baleke ujauziwa umekopeshwa, umeuziwa lini na kwa bei gani
2.mukoko hakuondoka yanga kwa kuishiwa kiwango

yaani unataka kutuaminisha baleke ni mzuri alafu tp akupe kwa mkopo
 
Back
Top Bottom