adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Wewe ni GOAT kwenye sekta ya uchawa hapa Jf..Ahadi ya mh Rais imewapa hamasa Sana wachezaji wa yanga Baada ya kusikia sauti ya mama yao ikiwahamasisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni GOAT kwenye sekta ya uchawa hapa Jf..Ahadi ya mh Rais imewapa hamasa Sana wachezaji wa yanga Baada ya kusikia sauti ya mama yao ikiwahamasisha
Mimi naongea ukweli ambao Ni wa wazi kabisaWewe ni GOAT kwenye sekta ya uchawa hapa Jf..
Basi pongezi nyingi ziende kwa serikali ya awamu ya 6 na Rais Dr Samia Hassan ..Mimi naongea ukweli ambao Ni wa wazi kabisa
We kalia huo ujinga wako mwenyewe!Ahadi ya mh Rais imewapa hamasa Sana wachezaji wa yanga Baada ya kusikia sauti ya mama yao ikiwahamasisha
Kwani wapi nilipoandika kuwa hii Ni barua ya maombi ya uteuziWe kalia huo ujinga wako mwenyewe!
Uteuzi huwezi pata kamwe maana hata mteuzi unamkera pia!
Hoja hujibiwa kwa hoja na siyo virojaHivi ww una familia kweli ??? Na kama una familia basi inahasara .....
Shida Wana midomo mirefu kama ndege joniIla nchi hua inapata furaha na amani Simba anapodhalilika. Fuatilia mtaani uone
Muda wenu huu ata ssi tulitamba SanaShida Wana midomo mirefu kama ndege joni
Na Hela mliyoshindwa ipata siye tumepita nayoMuda wenu huu ata ssi tulitamba Sana
Lucas utakuwa utakuwa umepotea njia bila shaka. Huku siyo kwako.Ndugu zangu watanzania,
Rais Samia Ni kiongozi mwenye Baraka na kibali ,Ni kiongozi Ambaye kila anapogusa lazima pafanikiwe,lazima matokeo yawe chanya,lazima patowe matunda,lazima pawe na furaha na amani,kila atakalo litamka neno kutoka katika kinywa chake Ni lazima lifanikiwe, Ni lazima lipokelewe na watu,Ni lazima liteke hisia na kuungwa mkono na watanzania.
Siku chache zilizopita Rais Wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania mzalendo na Sauti ya Afrika Rais Mama Samia Suluhu Hassan alitoa ahadi ya kununua kila goli litakalo fungwa na Timu zetu za Simba na Yanga kwa kiasi Cha shilingi milioni Tano dhidi ya wapinzani wao.
Leo Yanga Baada ya kukumbuka Sauti na ahadi ya Rais wetu na mama yetu shujaa wa Afrika na mtetezi wa waafrika wakaingia uwanjani kimapambano,kimkakati ,kizalendo,kishupavu,kiimara,kikomandoo,kijasusi na kwa kujitoa huku wakiisikia sauti ya mama yao mama Samia kiongozi wa wote ikiwapa hamasa mioyoni mwao,Hatimaye wakapambana kwa nguvu zao zote kwa jasho na machozi na kuisimamisha na kuiduaza Afrika na Dunia nzima kwa ujumla kwa namna walivyo tandaza kandanda la kiwango Cha kimataifa ambalo limeweka historia isiyofutika Barani Afrika na Tanzania.
Yanga wametufuta machozi kama Taifa,wametupatia heshima na kutuheshimisha,wametufutia aibu Kama Taifa,wameleta furaha na Tabasamu watanzania,wamewaponya wengi kwa kuwapatia furaha,wametuondolea Aibu Kama Taifa,wamefanya nchi iendeleee kutabasamu na kutawaliwa kwa vifijo na ndelemo,wamefanya Tanzania ya Rais Samia iendeleee kuteka anga la Afrika,wamefanya mitaa yote ilipuke kwa shangwe na kelele za furaha.
Wamefanya kila biashara ichangamke,vinywaji vinanunuliwa na watanzania huku mitaani bila kikomo, waliokosana wanapatana kutokana na kujawa na furaha.
Hakika ushindi wa yanga uliochagizwa na ahadi za mh Rais umeliunganisha Taifa na kumheshimisha mh Rais wetu mama Samia,wachezaji wamepambana na kupigana kikomandoo kulinda na kutetea heshima ya mh Rais,Sasa nyuso za watanzania zimejawa na furaha,mioyo ya watanzania Ni vicheko na furaha.
Hongera Sana Rais Samia kwa baraka zako kwa vijana wako,hakika umewasaidia Sana katika kuwapa hamasa wachezaji,wewe Ni mshindi Rais wetu katika mchezo wa leo,wewe Ni shujaa Rais wetu katika ushindi wa yanga, Ndio maana jumuiya ya Wanamichezo wote inakupenda Sana na kukuunga mkono.
Naamini Tanzania itaendeleaa kung'ara kimichezo kwa kuwa Rais wetu Ni mwana michezo na mpenda maendeleo ya michezo hapa nchini, palipo na mkono wa Rais Samia lazima uone mafanikio,palipo na neno la Rais Samia lazima uone Tabasamu katika nyuso za watanzania.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Wewe ebu tuondolee haya mashudu yako hapaNdugu zangu watanzania,

Acha ujingaNdugu zangu watanzania,