FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Al Hilal mbona wakawaida sana aiseeee!?
Yanga ilikua inawafunga hawa Sasa sijajua shida ni nini!
Au kocha ndio anaiona hii mechi kama mechi ya matazamio ya kikosi!??
 
Ni upumbavu tu, timu inafungwa mechi mbili unafukuza kocha mwenye track record nzuri. Yanga watafungwa sana, pumbav zao!!
Hata maji machafu huzima moto Shem...
Polepole tu...ni mwendo wakupokezana🤣
 
Back
Top Bottom