Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Jamani lol...pole sana jamani..kwahyo uko uwanjani?Kwann unatuchukia sisi wana yanga we mdada!?
View attachment 3162264
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani lol...pole sana jamani..kwahyo uko uwanjani?Kwann unatuchukia sisi wana yanga we mdada!?
View attachment 3162264
MajangaHii mechi kwangu naona haitabiriki ila naamini Yanga itatoboa tu!
Hivi anacheza namba ngapi huyu? Alisajiliwa lini na Uto?Mobeto asakwe Popote alipo..!
Ametukwaza sana.
alie anzisha uzi mbona haleti updateYNG 0- 1 Hil dk 80'
Timu kuongozwa na waswahili ni shida sanaItakuwa walipishana mahali, ila huwezi kufukuza kocha aliyepoteza mechi mbili tu, labda uwe mpumbavu!
Hata maji machafu huzima moto Shem...Ni upumbavu tu, timu inafungwa mechi mbili unafukuza kocha mwenye track record nzuri. Yanga watafungwa sana, pumbav zao!!
Labda abakunywa supu.alie anzisha uzi mbona haleti update
Dk 83 🐸 fc 0 Al hilal 0nekwani dakika yangapi?
mbona hamleti update nyie wajinga nini?
Mecho mbili au tatu??Ni upumbavu tu, timu inafungwa mechi mbili unafukuza kocha mwenye track record nzuri. Yanga watafungwa sana, pumbav zao!!
Dj Aziz k atuwekee wimbo huuYanga hii inafungwaje🎻🎸🎺