FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

Mwisho wa ubaya aibu....
 

Attachments

  • IMG-20241126-WA0145.jpg
    IMG-20241126-WA0145.jpg
    15.7 KB · Views: 1
Yanga leo anashinda vizuri tu ingawaje mechi itakua na ushindani sana shavu la kushoto akiwepo Isaka Isaka na kulia Yao Yao kati Job na Baka kiungo ya chini Nzegeli na juu Aucho huko mbele weka Pacome, Dube na mwamba wa Lusaka hao jamaa hawatoki salama..zile assist za Chama lazima upate goli.
Wacha weeeeeeee
 
Wachezaji wa Yanga, ngoja leo niwachane. Hasa nyinyi kina Azizi K, Pacôme na kampani yenu. Na huu ujumbe nitautuma kwa mtu awafikishie.

Tabia yenu ya kukesha Wavuvi pale, kuvuta mishisha. Mkija kiwanjani hoi, hapo bado hamjachoshwa na virembo vyenu.

Mmechoka kuchezea Yanga mtoke, mtuachie Yanga yetu. Walikuwepo kina Mayele na wengine, wakapita na Yanga ikabaki.

Na nyie mliomtoa Gamondi, acheni kusikiliza maneno, huyo kosa lake lilikuwa kuwaachia huru sana usiku.

Nabi popote ulipo, najua wewe ndiyo ulikuwa kocha haswa. Na niliumia sana ulipoondoka. Kunjua moyo mambo ni mdebwedo huku 😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom