Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakupa laanaKufa kabisa mbwa takataka 🤣
Kama pombe ya ngomani watu wanajichotea tu dadeqAibu sana inapigwa nje ndani yaan Yanga imekua timu ya kujipigia tu kila anaetaka kujipigia
Wacha weeeeeeee......Tunapiga mtu tatu bila
Dubeeee
Kiiiii
Zingeliii
Pacomeeee offside
Mkuu laana ya watoto wa buku mbili naitaka sana😂😂😂😂Nitakupa laana
Yaani hiyo ni colabo ya laana ya Gamondi na Kurjuan ya Mzee MagomaLaana ya Gamondi inaanza kutembea
Unasemaje wewe,hebu rudia tenaTunapiga mtu tatu bila
Dubeeee
Kiiiii
Zingeliii
Pacomeeee offside
Kweli!?Alianza kutoa jasho makwapani ndo bechi la ufundi wakamsanua avae koti!
Teh teh 😃 😃 😃All the best bingwa mtarqjiwa wa CAF champions league
Walikuwa hawajapata huo ujanjaBana wewe kujidunga wasijidunge kipindi cha Nasrudin Nabi waje wajidunge sasa hivi!?
Wataita mayi mmaaa....Ka flying fish kabaridi Beshte...
Tumefurahi vibaya mno( kwa sauti ya Ahmed Ally)😅
Hakuna Timu PaleHawa jamaa inawezekana kweli walikuwa wanajidunga sasa wameshtukiwa mambo yanaenda kombo
Tutakupa kazi ya ukocha sasaYaan unamtoa nzengeli na abuya unamuacha dube na aziz ki 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾😢😢😢 YoungAfricansSC mmetutolea wapi huyu mtu
😂🤣😂🤣😂😂😂Kwani si kikundi cha wazee kile
Hapo dharau yangu iko wapi mkuu
Wacha weeeeeeeeYanga leo anashinda vizuri tu ingawaje mechi itakua na ushindani sana shavu la kushoto akiwepo Isaka Isaka na kulia Yao Yao kati Job na Baka kiungo ya chini Nzegeli na juu Aucho huko mbele weka Pacome, Dube na mwamba wa Lusaka hao jamaa hawatoki salama..zile assist za Chama lazima upate goli.
Waliachia CCTV ya uchawi kesho yake masindano🤣Issue gani ya Azam?
Duh!....Wale wa kubet Mpe Al Hilal ushindi na goli kuanzia 2