FT: Young Africans SC 3-0 JS Kabylie | CAF Champions League | New Amaan Complex | Feb 15, 2026

Mpfyuuuuuuuuuuuuu
MpyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuΓΉΓΉuuuΓΉ
 
Reactions: BRN
Na huu ndo ukweli enyi vyura wa matopeni
 

Attachments

  • Screenshot_20260215-222910_WhatsApp.jpg
    104.2 KB · Views: 26
Safi sana, Icon ya soka la bongo ni Simba SC pekee, msimu ulikuwa mbaya kwake.

Eti msimu huu simba atashushwa kwenye rank za CAF na Yanga, kiko wapi?
 
Kuoga tumeoga na kuvaa suti ila ticket zimeisha mjini hatuendi, acha turudi kuwanyasnyas nbc.
 
Ningeshangaa mwarabu amuumize mwarabu mwenzake kisa chura mmoja wa kimasai... uliona wapi!
 
Baba na watoto wafe kwa ugonjwa wa kuambukiza mama apone haiwezekani.Mwaka wa pili mfululizo Uto robo fainali ataisikia tu.Kuingia robo fainali sio kwa kila timu.
 
Baba na watoto wafe kwa ugonjwa wa kuambukiza mama apone haiwezekani.Mwaka wa pili mfululizo Uto robo fainali ataisikia tu.Kuingia robo fainali sio kwa kila timu.
Sasa ndo uburuze mkia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…