FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Nyie tena sio ndio shughuli zenu au mmesahau ule upuuzi wenu wa kuota moto katikati ya uwanja South , mkapigwa faini ya dola 5000 na CAF au hili nalo linahitaji tuweke bango, mbona mnakuwa wepesi kusahau.....
Nakwambia hivi ule mpira mliloga full stop..we leta kumbukumbu mimi nakupa za motoo za juzi...mpira urudiwe...
 
Jidanganye ww mzee...mtaita maji mmaaa tha I assure you..
Mtafungwa tuuu...hilo halima mjadala
Huna timu jana ulikuwa na zali na basi lenu lile la jana,mabeki tisa.Hata tukiokotana humu JF mashabiki wa Yanga hamtufungi.
 
Huna timu jana ulikuwa na zali na basi lenu lile la jana,mabeki tisa.
Ndo timu za wakubwa zinavyocheza..nyie si mmefunguka mmeona mnacheza na kibonde? Nenda sasa kichwa kichwa kwa Alhly mkafe kibudu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…