FT: Young Africans SC 3 - 0 Medeama FC | CAFCL | Benjamin Mkapa Stadium | 20.12.2023

Pamoja na hayo, Mazingira ni factor kubwa sana katika mchezo wa Mpira.

Kule Kaskazini ni msimu wa baridi,huku kwetu ni msimu wa Joto, hata kama wanamazoezi lazima wapate hiyo challenge.

Hata Beluzidad wangenguja msimu huu kwa Mkapa saa kumi jioni, ingekuwa advantage kwa Yanga.

Ziwezi kuvaa jezi ya Yanga, na hakuna atakayenizuia as long nimelipia.

Labda wa Mzunguko(Bure)ndio lazima wavae Jezi.

Mimi kuna Angle ya V.I.P C huwa naipenda sana! inanipa clear vision.
 
Nakuomba mungu yanga wafungwe nyingi.... Wakifungwa nyingi itakua vizuri sana eee bwana mungu..
 
😂😂😂 Sio mbaya kufanya imagination!
Sema nyingi huwa ni wrong kwa upande wa Uto...
 
Hilo analosema la jua ni kweli kabisa. Jana tungewachezesha Wydad saa 9 ila washukuru CAF walikaza. Hata wale CRB walitepeta kule kwa Medeama kwa sababu ya jua, linawasumbua sana kwa kweli.
 
Nakuomba mungu yanga wafungwe nyingi.... Wakifungwa nyingi itakua vizuri sana eee bwana mungu..
Naiboresha hii sala yako.
Popote ulipoweka m ndogo na iwe kubwa na b ndogo iwe kubwa.
yaani "Mungu na Bwana."

Amen!
 
Hilo analosema la jua ni kweli kabisa. Jana tungewachezesha Wydad saa 9 ila washukuru CAF walikaza. Hata wale CRB walitepeta kule kwa Medeama kwa sababu ya jua, linawasumbua sana kwa kweli.
Sahihi.
 
[emoji23][emoji23] nashauri msije wengi!!
Yanga kwa Mkapa huwa hawashindi mashabiki wakiwa wengi.

Medeama ni black race pia, Saa kumi kwao hakuna challenge yoyote.

Jana Waarabu tuliwahenyesha, muda pia ulichangia ujue.
Wanacheza saa 1 usiku.
 
Naona ndugu zetu wa upande wa pili mmekuja kutuimbia taarabu hapa baadae mje Tena 🤣 kuimba izo taarabu zenu naona mmejaa hapa kutuombea mabaya baadae mje msipo kuja risiti zenu zipo nyie endeleeeni kuimba baadae mtapakimbia hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…