DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Mechi 3 points 2 simple mathematicsSasa Yanga inanitesa na kitu gani Mkuu? Mechi 3 tumepoteza 1 Draw 2, kuna shida gani hapo?
Na leo tunashida! Yanga raha
Mechi 6 points 4....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi 3 points 2 simple mathematicsSasa Yanga inanitesa na kitu gani Mkuu? Mechi 3 tumepoteza 1 Draw 2, kuna shida gani hapo?
Na leo tunashida! Yanga raha
Pamoja na hayo, Mazingira ni factor kubwa sana katika mchezo wa Mpira.Ngoja kwanza, hii mechi hakuna kuingia bila jezi ya Yanga, kwahiyo utavaa?
Yani katika vitu vya kipuuzi mtu akisema namdharau ni suala la jua sijui Waarabu hawawezi kucheza vizuri!
Like WTF? Mnafikiri hawalijui hilo? Hawafanyi mazoezi wakati wa jua kali?
Kwamba kwao hamna jua ndio wanakuja kulionea hapa?
Kwa takwimu za Wydad kwa sasa wameporomoka, sio ajabu kufungika.
Leo ndo unajua hilo? Jana pale jee?Kama taifa lazima tuungane kuzisupport timu zetu
😂😂😂 Sio mbaya kufanya imagination!Wao yanga utasikia tukimfunga medeama tunakua na point 5 then al ahly tutamfunga kule kwake tutafikisha points 8..... Halaf tena wale wa algeria kwa mkapa hawatoki hapo tutakua tunaongoza kundi na points 11. Yanga wao ni km uumbaji wa mungu yaani wakisema inakua hivyo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]27' aziz kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hilo analosema la jua ni kweli kabisa. Jana tungewachezesha Wydad saa 9 ila washukuru CAF walikaza. Hata wale CRB walitepeta kule kwa Medeama kwa sababu ya jua, linawasumbua sana kwa kweli.Ngoja kwanza, hii mechi hakuna kuingia bila jezi ya Yanga, kwahiyo utavaa?
Yani katika vitu vya kipuuzi mtu akisema namdharau ni suala la jua sijui Waarabu hawawezi kucheza vizuri!
Like WTF? Mnafikiri hawalijui hilo? Hawafanyi mazoezi wakati wa jua kali?
Kwamba kwao hamna jua ndio wanakuja kulionea hapa?
Kwa takwimu za Wydad kwa sasa wameporomoka, sio ajabu kufungika.
Naiboresha hii sala yako.Nakuomba mungu yanga wafungwe nyingi.... Wakifungwa nyingi itakua vizuri sana eee bwana mungu..
Yanga hawaamini km wana points 2 kwa yale mahesabu.... Kutocheza hii michuano kwa Muda mrefu kuliwafanya wasielewe ugumu wake... Wengi sasa wameanza kuelewa😂😂😂 Sio mbaya kufanya imagination!
Sema nyingi huwa ni wrong kwa upande wa Uto...
Sahihi.Hilo analosema la jua ni kweli kabisa. Jana tungewachezesha Wydad saa 9 ila washukuru CAF walikaza. Hata wale CRB walitepeta kule kwa Medeama kwa sababu ya jua, linawasumbua sana kwa kweli.
Mmmhh okayYes, siwezi kuvaa nguo bila kuipiga pasi.
Wanacheza saa 1 usiku.[emoji23][emoji23] nashauri msije wengi!!
Yanga kwa Mkapa huwa hawashindi mashabiki wakiwa wengi.
Medeama ni black race pia, Saa kumi kwao hakuna challenge yoyote.
Jana Waarabu tuliwahenyesha, muda pia ulichangia ujue.
Ningeituma kwenye birthday yako ila uliikataaNaomba laki 1 bas,
HahahaNaiboresha hii sala yako.
Popote ulipoweka m ndogo na iwe kubwa na b ndogo iwe kubwa.
yaani "Mungu na Bwana."
Amen!
Ni saa 10Wanacheza saa 1 usiku.
Wanacheza saa 10 jioni.Wanacheza saa 1 usiku.