Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,043
Usijali mkuu leo usiku kuchaaa mchina atakuwa anapiga baruti huku wanajeshi wa china wakikata mauno feni angalau nyie pro china msikie milio nafsi zenu zisuuzike.Mchina nifurahishe leo nina msiba wa Zawahiri
Na Mimi nitawaona Ni mafaller sana.
Hilo sio la kustua sana,Anga la Taiwan lipo chini ya US 3week before,mchina kaja kushtuka juzi tu [emoji1787]
Watu wapo makini na mambo yao
Sijajua sasaSasa alipayuka ya nini kutishia eti hiyo ziara ni kucheza na moto?
US imeji-establish over 200 years, huwa nashangaa sana mtu anayeamini kuwa mchina ambaye hadi miaka ya late 60s tulikuwa level moja ya maendeleo na huyu Russia ambaye juzi hapa 90s alikuwa kasambazwa vibaya kuwa wanaweza kumtunishia US misuli.Tunaichukia tu marekani aisee lakini ile nchi kijeshii ni habari nyinginee
Demokrasi ya USA inaruhusu hayo,Hoja kubwa siyo mzuri, huyu mama mtata na ana roho ngumu kupita maelezo. Aliwahi kuchana hotuba ya Trump(akiwa rais) tena mbele yake.
Hatakiwi kukurupuka maana vita ni zaidi ya maneno, vita inahitaji mipango ya muda mrefu.Rais wa China🇨🇳 ana akili na busara sana
Hamna,Kwanza ilitakiwa awe ameshaingia Taiwan toka jana anafanya doria ila yeye kaishia fujin[emoji23]
Mm nimeridhika sana na maamuzi ya CHINA kutulia(Kama ataendelea kutulia).Rais wa China🇨🇳 ana akili na busara sana
Uko Taiwan Jimbo gani mkuu[emoji16]Mkuu hizi fake news unazitoa wapi?! Hakuna Bomu wala jiwe lililorushwa watu tupo LIVE hapa tunafatilia kwa karibu
Watu wa Rainbow mmeanza mambo yenu tena.US imeji-establish over 200 years, huwa nashangaa sana mtu anayeamini kuwa mchina ambaye hadi miaka ya late 60s tulikuwa level moja ya maendeleo na huyu Russia ambaye juzi hapa 90s alikuwa kasambazwa vibaya kuwa wanaweza kumtunishia US misuli.
Mkuu naamini mama ataondoka vizuri tu ila taiwan itakaa kwenye matatizo yanaweza yakawa sio vita ya kumwaga damu ila vita ya kiusalama na uchumiHakuzipiga kabla ya mama kutua Taiwan?
Kweli kabisa,Ili kupunguza aibu alipue hata baruti majini humo auwe hata samaki ndio arudishe hayo machuma yake.
China ni matapeli tu, hawana tofauti na wale jamaa wa ile hela tuma kwenye namba hii...Hamna,
Alikuepo Taiwan,
Mpk ndege inashuka, mchina Bado Alikua anapuga Doria.
Sema Ni anazurura TU maana alitakiwa apige hata gruneti moja, tumuone Yuko serious[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchina na vita wapi???Mchina nifurahishe leo nina msiba wa Zawahiri
US wali dictate mifumo mingi sana duniani. Democracy, ubepari kwenye biashara na kadhalika. Huyu sio wa jana wala wa leo, huyu ni kesho kutwa kabisa mambo yakeUS imeji-establish over 200 years, huwa nashangaa sana mtu anayeamini kuwa mchina ambaye hadi miaka ya late 60s tulikuwa level moja ya maendeleo na huyu Russia ambaye juzi hapa 90s alikuwa kasambazwa vibaya kuwa wanaweza kumtunishia US misuli.
Putin bado hajaiweza UkraineHilo sio la kustua sana,
Cha muhimu mchina Ni awe serious TU.
Maana hata Ukraine ilikua chini ya USA tangu 2014, ila Bado Putin akapiga pale pale.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchina amekua hana tofauti na NATO,wkt Russia inaivamia Ukraine jamaa wa NATO walikua wanafanya mazoezi,mpk leo Russia anampiga Ukraine bado tu NATO wanafanya mazoezi.Hamna,
Alikuepo Taiwan,
Mpk ndege inashuka, mchina Bado Alikua anapuga Doria.
Sema Ni anazurura TU maana alitakiwa apige hata gruneti moja, tumuone Yuko serious[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app